Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Jul 11, 2010 #1 Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu
Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu
Mtazamaji JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 5,937 Reaction score 1,444 Jul 11, 2010 #2 Original Pastor said: Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu Click to expand... Tumi google transalotor kutafsiri maneno ya kibrazil kwenda kwenye lugha unayojua Then badilisha language ya hiyo ipod yako lugha yako
Original Pastor said: Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu Click to expand... Tumi google transalotor kutafsiri maneno ya kibrazil kwenda kwenye lugha unayojua Then badilisha language ya hiyo ipod yako lugha yako
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Jul 11, 2010 Thread starter #3 asante mtazamaji
U Urenga One Member Joined May 22, 2009 Posts 50 Reaction score 1 Jul 12, 2010 #4 acha ushamba OP nenda google au unamaanisha nini????????????
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Jul 12, 2010 #5 Original Pastor said: Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu Click to expand... Ku Update ipod 32GB hebu jaribu kuangalia hapa bonyeza Apple - iPod touch - Get amazing new features with the iOS 4 software
Original Pastor said: Habari wakuu naomba jinsi ya ku update apple ipod 32GB nimeshindwa ku update sikuweza kusoma Ki brazil ila ni mpya Original Internet napata Asanteni wakuuu Click to expand... Ku Update ipod 32GB hebu jaribu kuangalia hapa bonyeza Apple - iPod touch - Get amazing new features with the iOS 4 software
Original Pastor JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 1,274 Reaction score 52 Jul 12, 2010 Thread starter #6 hapa inasema mpaka niwe na Itune je unayo mkubwa???