Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,099
Bwana yesu asifiwe wapendwa,
Jamani mimi nimeona watu wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujua kama unaingia kivipi, maana usipojua ndio ile unajikuta kijana unatumia gharama kubwa.Alafu mwisho wa siku ukiachwa unaanza kulalamika na hata kumchukia mdada. Au unajikuta unagundua kuwa kuna kamchepuko kisha mnaanza ugomvi.
Ninawashauri ni vizuri ukalijua mapema itakupunguzia gharama na hata mdada hatakuwa anakubana sana katika matumizi maana mtakuwa na mipango ya maendeleo. Ebu jiulize mwenyewe sasa upo na huyo kivipi?
Na kama just entertainment ujue hiyo temporary na muda wowote na kwasababu yoyote uhusiano utakoa ghafla. Na hiyo inaleta tabia mbaya maana kwa mwaka unaweza kuwa umeingia kwenye mahusiano na watu hata zaidi ya 20.
Chukua tahadhari