Ahsante mkuu. Kwa mujibu wa maelezo yako inaleta maaana. Mwanzo nilifikiria wewe ndio unatoa LC, Guarantee na Bond.
Mambo kama haya yakifanyika vizuri kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizopo, yatawasaidia sana wafanyabiashara, hasa wakati huu wa utandawazi na biashara za ushindani.
Nikutakie kila la kheri na mafanikio mema