Are you BLIND?

Jamaa anayojenga hayaeleweki, kasahau Na kuitelekeza familia..he's simply busy for nothing ,hakuna liilo kamilika..msingi Na ramani kushnei..huyu Mzee atazeeka hakuna. La maana alilokamilisha
 
matofali ya kati, iyo joint ilivyowekwa inaweza kuanguka muda wowote
 
lazima uvccm watasema masoud katumwa na ukawa
 
Jamaa kachoka! Hana Saidifundi wala kibarua, one man show!
 
Kalowa jasho kabisaaaa, Kule kapandisha tofali tano Kaacha, kahamia sehemu nyingine.... Yaani ni blah blah
 
Yan kashika hili kaacha, kaamia hapa nako kaacha... Anaruka ruka tu no plans...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…