Are you Anthony weiner?

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Weiner ni mwana siasa hapa NY .Alijiuzuru baada ya kugundulika anatuma Picha za uchi kwa Wanawake .Weiner ana mke na mtoto (mkewe msaidizi wa Hillary na Hillary Clinton Kama mama ake ) ,.Anthony weiner alisema ameacha kutuma Picha na kuongea na Wanawake Kwenye Internet .Anthony anagombania u mayor wa NY Wanawake washaanza kujitokeza na emails texts na Picha za Ufupi wa Huyu anthony.Je Huyu anthony ana matatizo gani ?na Kwa nini mkewe anaona sawa tuu !!
 
Wewe mli-publican una matatizo!!
Usitazame Foxy news & the like. Jitahidi uwe flexible kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…