Are you a robot?

cheetah255

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2017
Posts
1,382
Reaction score
2,416
Habari wakuu, kwa sisi tunaopita kwenye website mbalimbali tumekuwa tukikutana na hiki swali mara nyingi,hasa website za technology,likitutaka kuthibitisha kwamba ni binadamu anaye peruzi, hivyo kuna maswali utaulizwa kwa njia ya picha.

Wataalamu wa Technology tujuzeni hivi kuna robots wanatumia hizo huduma za internet kama binadamu?,kama hakuna hili swali la are you a robot lina mantiki gani.
 
Wanafanya hvo kuzia bots. Bots ni automated programs zinazofanya kitu flani kwa mwenendo wa kibinadamu. Yaani kma kwenye website ya kusign up inajaza details zote na kubonyeza button zote kma anavyofanya binadamu

Kwa mfano, hapa karibuni PS5 ilizinduliwa. Kuna baadhi ya watu wakaandika hao bots wa kufanya kazi ya kununua PS5 zote kwenye website mbali mbali kwa lengo la kuja kuuza baadae kwa bei ya juu zaidi. Hizo "are you a robot" au kwa jina lake official ni "Captcha" ndio zina kazi yakuzuia mambo kma hayo.

Mtu anaweza tumia automated software (bots) kutengeza account hata 100 ndani ya sekunde kadhaa tu. Captcha kazi yake ni kuzuia hcho kitu
 
Ahaa,sasa hizo bots hazina uwezo wa kujibu hilo swali na kuchagua picha sahihi kama zilivyo na uwezo wa kuperuzi,kudownload na kufanya manunuzi?.
 
Ukichat kwenye mitandao ya kijamii huduma kwa wateja za mitandao ya simu mara nyingi unajibiwa na robot yaani ni mara chache sana kujibiwa na mtu.
Tulia mkuu wataalam wanajibu.
 
Ahaa,sasa hizo bots hazina uwezo wa kujibu hilo swali na kuchagua picha sahihi kama zilivyo na uwezo wa kuperuzi,kudownload na kufanya manunuzi?.
Mara nyingi haziwezi kuidentify vitu vilvyo kwenye zile picha. Kwasababu zile picha zinakua low quality na kitu kinachohitajika unakuta kimejificha na vitu vingi tofaut. Pia itamhitaji mtengenezaji aprogram huyo bot wake aweze kuanalyze hzo picha na kuidentify kinachohitajika. Hii ndio kazi kubwa ambayo wengi hawafanyi
 
^mara nyingi^
 
Maswali yao yanasumbua hatari eti jaza nafasi zilizo na kivuli, mara bonyeza kwenye alama za miti na bla nyingi sana
 
Soma hapa:

 
Maswali yao yanasumbua hatari eti jaza nafasi zilizo na kivuli, mara bonyeza kwenye alama za miti na bla nyingi sana
Issue sio kusumbua! Mziki wake uwe na uharaka wa ku sign up au ku login afu una mtandao dhaifu, Alooo uta hustle ile mbaya ku verify.
 
Issue sio kusumbua! Mziki wake uwe na uharaka wa ku sign up au ku login afu una mtandao dhaifu, Alooo uta hustle ile mbaya ku verify.
Hadi kero mwisho unaamua kuwa mpole tu uendane nao.
 
Issue sio kusumbua! Mziki wake uwe na uharaka wa ku sign up au ku login afu una mtandao dhaifu, Alooo uta hustle ile mbaya ku verify.

Mm huwa nasikilizaga sauti naweka maneno chap naona option ya sauti inafaa zaid kuliko picha sion vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…