Are you a female or a male?

Maswali mengine ni udhalilishaji, hivi mtu ambae unaongea nae ana kwa ana, Katika mazingira ya kawaida unawezaje kumuuliza yeye ni jinsia gani?
Ndioo nimoja wapo ya maswali ya wewe kujitambua je wewe ni nani??
 
Kidhungu acha kabisa,ndo maana niliamua kuwa chinga yanini kwenda kuaibika kwenye interview
 
Yote hayo unayakumbuka? Au ulirikodi? Kama umekumbuka yoye basi inafaa kuwa mmbea wa taifa
 
Nikiwaza intavyuu mwili wote unapata ganzi, huwa naogopa intavyuu hadi namuelewa magufuli kwanini alikua anawakimbia BBC wasimhoji
Kuna interview zingine unakuwa una-expose ujinga wako bila ya wewe kujua...watch it closely...huo ni mtego ,ukiwa mjanja unauruka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom