Are we informed or distracted?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,381
Reaction score
27,841
Kwa kukua kwa mitandao ya kijamii kumekuwa na content nyingi mitandaoni ambazo nyingi zimekuwa irrelevant kabisa.

Leo katika tafakari yangu likanijia wazo... Ni lini mara ya mwisho kutazama taarifa ya habari?

These days, tunaweza kuangalia taarifa lukuki na zenye makando kando mengi of which asilimia kubwa hazina depth kabisa, unakuta kichwa cha habari ni attention seeking ila ukisoma unakutana na kitu cha kawaida

Ikanifanya niwaze as to ni nini hasa tunafaidika na haya masimu?

Zamani watu walikuwa wanafanya kazi ngumu kujipatia kipato, ila siku hizi vijana anawazia kutengeneza trendi za mitandao na kukata mauno ili kupata likes mitandaoni.

Simu hazina maana kabisa, ni great sealers of joys and focus. Udaku na illerevant posts ndo zinaibia vijana dreams na focus za kufikia ndoto zao.

Hii ni kweli kabisa, mimi naona watu wa miaka ya 90 walio tawaliwa na vitabu waliweza kufanya makubwa sana kwasababu waliweza kutumia muda wao kwenye ujuzi, siku hizi ujuzi umekuwa polished kwa video ya dk10, yaani mtu ana fungua kavideo a naangalia then naye anajiita msomi kisa kapata summary ya short video.

Ndo maana tunakizazi cha kuigiza sana, vijana wa ata quick Island overnight success. Ila ndo hivyo vijana wanapotea, na simu imekuwa silaha ya kuwaangamiza.

Jamani sijui kama kuna mtu kanielewa? Hili janga ni kubwa sana, tunaanda vizazi vya ovyo, hamuuoni wanawake siku hizi wamepata fursa kuanika miili yao mitandaoni kusaka mabwana?

Kizazi hiki kinashawishiwa na wajinga wachache walio fanikiwa kwa kutokufanya kazi, mfano machawa wa mitandao, wanawapa madogo implication kuwa hata usipo soma unaweza kutajirika kwa kisifia wanaume wenzao, ni zama mbaya sana hizi.

Tunakoelekea ni kubaya sana, wenye kufanya kazi na kuachana na distraction za generation hii ndio watakao fanikiwa maana dunia nzima ni kama imelala
 
life is always changing, you should learn to adjust.

“Maisha hubadilika kila wakati; unapaswa kujifunza kuendana na mabadiliko hayo.”
 
People, opportunities, challenges, responsibilities, and circumstances can all change at any time. Therefore, instead of hoping that everything will stay the same, you should learn to adapt.
 
life is always changing, you should learn to adjust.

“Maisha hubadilika kila wakati; unapaswa kujifunza kuendana na mabadiliko hayo.”
"There's no amount of adjustment in a sick society" ~jiddu krishnamurti
 
Circumstances, people, opportunities, responsibilities, and challenges can change at any time. Therefore, you should learn to adapt rather than expecting everything to remain as it was.
Is there anything to adapt really!?

And did things change for good or worse. Huwezi kusema una adjust uwe kucompesate distractions.. Labda useme uridi kuanza kuadapt life la nyuma ambalo lilikuwa na less stimulation. Ila bado kama mazingira tuishiyo hayaruhusu ni kazi bure
 
Unakataa nini na unakubali nini?
 
Unakataa nini na unakubali nini?
Nacho kataa ni mtu kuanza kusema kwamba watu wa adapt na akubali mabadiliko ambayo basically ni mabadiliko yasiyo na progression, so hata hayafai kuitwa mabadiliko, bali ni destruction.

So ni kheri tukarudisha mifumo ya nyuma hii iliyopo haina kuleta progress bali inamdumaza binadamu
 
Ni kweli kabisa kuna distraction kubwa sana huku kwenye simu. Mimi ugonjwa wangu ni ma_documentary.
 
Ni kweli kabisa kuna distraction kubwa sana huku kwenye simu. Mimi ugonjwa wangu ni ma_documentary.
Ni kheri hayo kuliko short for content. Documentary sina depth na unatoka na kitu ila haya ma shorts ni yanakuharibia attention span kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…