Hao madereva wa UFO ni viumbe wa kawaida au...?Ndio wanaficha kwani madhara ya kukubali uwepo Wa ufo .bila kujua chanzo chake halisi ni sawa na kubadilisha historia ya imani duniani dhidi ya mwanadamu .kinachofanyika sasa hivi ni uchunguzi na zaidi kutoka vyanzo katika biblia juu ya historia na michoro inayopatikana ndani ya biblia na vitabu na michoro viusianavyo. Na hii ni baada ya kugundulika historia na michoro inayo ashiria uwepo Wa UFO toka enzi ya adamu na ataa zaidi .kwa ajili hiyo itabakia kuwa UFO hakuna .mpaka itakapo julikana Kama Mungu aliliweka wazi na analielewa ni nini ,vinginevyo kutambua uwepo Wa UFO bila chanzo chake kuhusika na kujilikana na Mungu, haitakuwa ajabu binadamu kuanza kutengeneza chombo cha kwenda huko UFO zinakotoka,na wakaachana kabisa na habari ya makanisa na miskiti kuabudu .maana madereva Wa UFO kwa Maelezo yao kufa mwili hawajali ni swala la kuhamia mwili mwingine.ni sawa na sisi binadamu tunavyo amini roho kwenda peponi lakini ikiwa ni siri tusio ijua. tofauti yao viumbe hao madereva Wa UFO sio siri kwao wanajua wazi mwili ukifa wanahamia mwili mwingine ,habari zaidi Google: UFO documentaries
ha ha.. let me finish it be you as you and let me be as me...Heheheheheheh!!! Riwaya kama wasingekua wanawaficha watu ili wasiseme ukweli, kila unachokiona ni illusion, Mungu wa kweli ananguvu sana na ndo maaana anatuonyesha kila utundu wa shetani kila siku anapojaribu kutuvua imani,, urongo wa hawa jamaa, wewe umeshikwa! Amka bado shimo ulilomo wanakula panya wabichi
sasa mkuu wewe si tayari umeshasoma hizo kitu ,embu dondosha uzi hapa ili na sisi pia tupate darasaWazungu kitambo sana wanayatafuta makazi ya M/Mungu, soma vitabu vya dini utanielewa tu, Area 51 ipo na kazi yao kitanbo ndo hiyo kuzuga wale wote wasiyo na imani, shetani ananguvu nyie watu, nawashangaa sana mnavyokurupuka nakua fwatilia hawa wazungu, Nasa ni illuminati we unafkiri unadanganywa vp wewe, soma sana, kuna jamaa alienda mwizini na alivyorudi nasa walimficha mpaka mauti yalipomfika akiwa na 67yrs unajua ni kwanini? Kasome wacha kua mtumwa
Mmmmmmm....Kwani kila siku lazima wawe NASA?
Nchi yenu haiwez kutoa taarifa?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]ila kwenye hili la dunia kulizunguka jua, nina mashaka ni sayansi isiyo na uhakika, kwa sababu ukipanda chombo chochote kinapo move utayumba kwa namna yoyote, Dunia ikimbie 30 km/sec tusipigwe na upepo wakati tuko juu ya dunia,
na kama spindi ndiyo hiyo, ndege inaruka angani na inaenda magharibi halafu inaukuta mji, mi nadhani siyo sahihi
Same thinkingSio lazima ushikiwe akili na NASA au mtu yeyote it doesn't make any sense that we are alone in this huuuge galaxy which is in the clusters of galaxies which are in vast amounts of clusters just make a single milky way WE ARE NOT ALONE GUYS.
Kwenye classificafion za kuchotwa akili wewe unaweza kua huku,ha ha.. let me finish it be you as you and let me be as me...
wewe ni mgumu sana kuelewa hujui hata nataka nini nakushangaa ulivyokomalia.. jitahidi kuwa mwepesi kuelewaKwenye classificafion za kuchotwa akili wewe unaweza kua huku,
wewe ni mgumu sana kuelewa hujui hata nataka nini nakushangaa ulivyokomalia.. jitahidi kuwa mwepesi kuelewa
du km 11 kwa sekunde, hii inazidi umeme aisee
Fiction,some science na ushirikina.Duh,what a combination.UFOs ni vifaa vya anga za juu ambavyo hutumiwa na viumbe ambavyo kwa wenye imani wanasema ni babu zetu ambao wamerudi kwa ajili ya kuleta order ya ufahamu wa mtu mweusi baada ya kupata mateso kwa kipindi kirefu. ufahamu mwingi uliopo sasa duniani hasa kuamka kwa watu weusi ni matokeo ya marekebisho ya DNA yetu kwa kuwa DNA ni nyumba ya maarifa. kwani hii dunia iliumbwa na kuwekwa watu weusi wailinde. kilichotokea miaka elfu 6000 iliyopita kulitokea na mabadiliko baada ya kuumbwa kwa viumbe vingine (wazungu) ktk milima ya caucass kwa mfano wetu kama negative side ya watu weusi ili weusi waexperince upande wa ubaya wao. ndipo watu weusi wakawa wahanga wa mabadiliko hayo ya kiutawala wa dunia. kwahio kupoteza kwa mahali petu. tuliondolea hata ujuzi, maarifa na kumbukumbu ya uwepo na umuhimu wetu.
Lakini haya yote yameandikwa katika DNA zetu. sasa ni matukio tu ya mbingu na dunia yetu kwa nyakati tofauti. kila kilichoandikwa lazima kitimia. hivyo UFOs ni chariot of Israel ambazo zinakuja hapa kwa lengo moja tu. kutukumbusha lengo la uwepo wetu. na jinsi ya kurudi katika mahali petu ambapo tumenyang'anywa..........
Fiction,some science na ushirikina.Duh,what a combination.