Dah shukrani sana mkuu!! Hii kitu ilinichanganya sana, hao alliens ni jamii ya huko au? maana naona kama kuna kabifu flani hivi, mimi nilisikia mahala kwamba waliona kitu kama mng'ao flani kama vile mtu anashikilia kio alaf anakilenga juani sasa ule mwanga unaotoka juani anakuletea wewe, nasikia baadhi ya UFO ina sifa hiyo, hicho ndicho nilichokipata mimi, ila kuhusu hao viumbe sina habari kabisa.Kingine nakumbuka miaka ya 92 hivi nilipata stori ya kiumbe aliyetoka sayari ya Mars, nafikiri ni hao hao wa jamii ya Alliens, au siyo hao?

Anza kusoma huu uzi toka mwanzo utawaelewa. Wameelezwa huko kiundaniHabari wakuu?
Ndugu zangu kuna hawa viumbe waitwao ufo,nahitaji kujua je ni viumbe wa kweli?
Wanaishi wapi?
Ni viumbe visible and touchable?
UFO ni kifupi cha unidentified flying objectUFO, ni mini?
Hio speed ndogo sana mkuudu km 11 kwa sekunde, hii inazidi umeme aisee
duu huwa napenda sana kutizama Discovery channel nayaona sana haya mambo ila sijawa makini kufatilia hizi speedsHio speed ndogo sana mkuu
Sio ngumu kumeza wew ndio mgumu kuelewa jaribu kujiongezaYaani ni "kifaa" alafu tena akitambuliki? mbona hii ngumu kumeza.
watueleze, hata mi sielewi hapo, je ni kifaa, kiumbe, au muujizaYaani ni "kifaa" alafu tena akitambuliki? mbona hii ngumu kumeza.
okay.. kwa mujibu wa ulivyosema wanataka kutuaminisha nini..?Sio wanaficha nini, swali ni kuwa wanataka kutuaminisha nini?