Are u planning to get married?....i do

We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol
 
Last edited by a moderator:
We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol

Ha ha ha,wewe acha utani bana,una phd kwenye hiyo shule mbona.
 
Last edited by a moderator:
mie tena!
we nambie tu mapema!dada mkubwa FP atakuandalia lijamanda!
lijamanda tu mlongo wangu! na ligambusa kabisaaaaaa tunapelekea hilo lijamanda.
usipate shida mlongo wetu sister, una madada wa kumwaga huku
 
Last edited by a moderator:
Mlivyoifagilia hiyo shule! Ndo maana hatuishi kuulizwa, una mpango gani mwaka huu?
 
We naona ndio hili somo la Speaker umelielewa kuliko wote hapa, nafikiria kukutafuta unieleweshe kuhusu hiyo "shule"...

Maana mi ni mbulula kabisa lol
karibu saaaaana!ntakupa tu madesa yangu na we uyatumie kufaulu mwayego!
anytime karibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…