Kwa waliochaguliwa kujiunga na masomo ya Elimu ya Juu Via TCU,wamepewa fursa tena ya kuchagua chuo kingine (ikiwa hujardhika na chuo ulichopangwa) katika course ulizo omba kama ilivyo katika profile yako hivo ikiwa umepangwa Udom basi waweza badilisha ukasoma IFM endapo tu hiyo course ipo ktk chuo unachopenda kuhamia, mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16/9/2013

Umesahau course ya wagumu geomatics,geoinformatics,environmental engineering,municipal and industrial service engineering..nk..ambazo zipo ardhi tu hakuna sehemu nyengine
PFM,LMV na REFI unafananisha na mziki wa geomatics..wakati SRES hata HKL anasoma...kama hujui ulizia..huwezi kufananisha engineering na hizo ngwini zako..
yah ni chuo kizuri sana.kwa wale tuliomaliza mwaka 2005 ni mashahidi.ila kuna baadhi ya kozi ni balaa.mfano geomatics,architecture na environmental eng.