[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sisi tulikuwa tunamwita "Mwaki"
Ametuchoresha sana juani Mwaka wa Kwanza Study Tour!! Architecture ya Urusi imelala pale!! He is such a gentleman na funny!! Yuko poa sana jamaa hasa kwenye zile basics za design studio!!