Ardhi university...

Ardhi university...

lupe leonard

Member
Joined
May 29, 2016
Posts
53
Reaction score
15
hivi hiki chuo chenyewe huwa kinakua cha mwisho kutoa post...almost vyuo vyote vya serikali na private vimefika 20 lkn sijaona ardhi sua wala mzumbe...watoe basi...
 
Tulia dogo....Chuo makini hiko!! hukumsikia kaimu wa TCU Prof Mwageni alivyosema hiko ni chuo kilichoongoza kuombwa sana na wanafunzi...So kuwa mpole!
 
Nimiongoni mwavyuo vilivyoongoza kuombwa.ikiwemo udsm ardhi na muhac
 
Kwani vyuo vyengine vimeshatoa au unalaumu tu, tutajie vilivotoa
 
hivi hiki chuo chenyewe huwa kinakua cha mwisho kutoa post...almost vyuo vyote vya serikali na private vimefika 20 lkn sijaona ardhi sua wala mzumbe...watoe basi...
acha wenge dogo haraka ya nini, kwani profile yako haikuambii umechaguliwa wapi?
 
Back
Top Bottom