Ardhi University

napangisha vyumba kuanzia, survey, mpakani, lufungira, ubungo,
Ukihitaji niPM
 
Freshers wote mnaoenda ardhi tukutane hapa tujadil kuhus accommodation maan naskia ni shida San pale na continous watupe mbinu Za kupata malaz

Mimi nilijua labda ' Wahadhiri ' hawapo au wamegoma kumbe ni suala dogo tu la malazi Mkuu? Mbona hayo maeneo kuna Nyumba nyingi tu za kuweza kuishi na tena ni za gharama nafuu tu. au unadhani labda kukaa humo ndani ARDHI ndiyo itakupa hakikisho kuwa Wewe utakuwa ' unafaulu ' tu na unaogopa kwenda kukaa nje ya Chuo hapo kwa ' wananzengo? '
 
Saw naomb nitajie maeneo ya vyumb bei rahis ila isiwe mbali San na hpo na gharam zake
 
Saw naomb nitajie maeneo ya vyumb bei rahis ila isiwe mbali San na hpo na gharam zake

Anza kwanza kuwauliza wenzio hapo hapo ulipo watakusaidia humu wote tunaishi Hyatt Regency, Sea Cliff, Holiday Inn na Ngurdoto sasa mwaka wa saba ( 7 ) huu. Hivi kwa akili yako tu ya kawaida kuna Chumba ambacho kipo kabisa na Chuo kiwe na bei ya ' Kanisani ' au Msikitini ' Mkuu? Ukiona kuna Chumba au Vyumba tena vilivyo karibu kabisa na Chuo Kikuu chochote basi jua kuwa ' booking ' yake hufanyika mapema sana na usishangae hata kwa wa Mwakani nao wakakosa Vyumba kwani Wazazi wengi au Ndugu na Jamaa waliopo eneo husika huwahi kuwalipia Ndugu / Marafiki zao hivyo Vyumba hivyo kupelekea upatikanaji wake kuwa ni kama Ngamia kupenya katika tundu la Sindano. Kwani ukikaa mbali utadhurika nini Mkuu? au kama vipi Ongea na Uongozi wa Chuo uwe unalala tu humo humo Darasani ili uridhike zaidi na tena hautakuwa tu karibu na Chuo bali safari hii utakuwa karibu na Ubao wa kufundishia na Madawati ( Viti ) pia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…