Ardhi University(ARU) - Special Thread

Naomba kuuliza kuhusu bachelor of land management inahusiana na nini na in employment mhusika anakuw anajishughulish na nn hasa piah na ada zake
Kozi inaitwa Land Management and Valuation(LMV) ni kozi ya miaka 4. inahusiana na uthamini wa ardhi na usimamiz wa ardhi
Ukimaliza unaweza kufanya kazi kama Land Valuer au Land Officer, vilevile ukitaka kuwa registered wana board yao inaitwa TIVEA
Unafanya kazi kwenye halmashaur, wilayani,wizarani pamoja na private company zinazohusiana na Valuation.
 
Sorry mkuu naomb msaada juu ya koz inayoitwa bachelor of sciece in infrastructure planning and huosing inahusu nin na soko lake
 
Naomba kuuliza kuhusu bachelor of arts in community and development studies inahusiana na nini na in employment mhusika anakuwa anajishughulish na nn hasa piah na ada zake
 
Naomba kuuliza kuhusu bachelor of arts in community and development studies inahusiana na nini na in employment mhusika anakuwa anajishughulish na nn hasa piah na ada zake
 
Naomba kuuliza kuhusu bachelor of arts in community and development studies inahusiana na nini na in employment mhusika anakuwa anajishughulish na nn hasa piah na ada zake
 
I really need to a mentor in real estate investment.

Also naweza pata short course ya really estate investment.

Thanks
 
Hivi hapo ardhi wenye foundation programs wana weza pata course gani wakuu???
 
Naomba kuuliza ili mwanafunzi wa kidato cha sita anae soma combination ya egm kupata nafasi ya kusoma course ya art tecture anaitaji kupata division ngapi?
samahani ningependa kujua
 
Write your reply...wakuu vp upatikanaji vyumba vya kupanga maeneo karibu na ARU umbali wa kutembea kwa mguu dakika 30?
 
Hii ilikuwa miaka ya zamani mkuu
 
Mimi ni saveya, jamani masaveya tujifunzeni sheria za ardhi vizuri Kuna blanda nyingi Sana wanazifanya
 
Wakuu Nina shda Na mawasiliano ya lecture mmoja hivi halo ardhi anaitwa Dr didas s mwacha..department of building economics kwa kwenye nazo please
 
Habarini watu wa ardhi najua mnaweza nisaidie mawazo kwnye huu utata unaonizunguka Mimi na majirani zangu kuhusu urasimishaji wa ardhi.mimi na majirani zangu tulinunua viwanja vikiwa Bado havijapimwa na tuka Jenga wote ikatokea mmoja wetu kajenga ukuta. imekuja kampuni ya upimaji wanasema Yule mwenye ukuta hawezi kupimiwa barabara hivyo viwanja vyetu sisi wa upande wa pili ambao hatujajenga ukuta vimekatwa barabara hatua sita na kuwekwa bikon.sasa swali langu hv Hapo nafanyeje ili kupata haki yangu maana nimekatwa ubavuni Kuna barabara na mbele ya nyumba kunabarabara eti kukusaidia Yule aliyejenga ukuta kupata barabara ndo kiwanja changu kimekatwa barabara msaada wa kimawazo ndugu zangu mliosomea haya Mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna mtu ameendeleza hvyo tayar hv incured expenses..wewe ambae hujaendeleza ndy lazma uumie..kwa ufupi a value of land is valued once developed!! Though surveyors were to adjudicate pande zote ili mjue kwnn wewe unamegwa yule no...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau was ARU hivi kwa matokeo haya naweza soma Course ya Buildings economics,,

A_level
AdvMath-C
Economics -C
Geography-D

Na Olevel Physics nlipata F
 
Physics ya O Level hapo itakuangasha mkuu
Duh ,, wataka Niambia Physics wana Consider Sanaa??
Kwa mfano kwa wale ambao hawajasoma physics o level na advance wamesoma EGM nao pia hawawezi Soma hiyo course??
Ebu nifafanulie kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…