Hii kampuni ya wababaishaji tu. Nimecheki kwenye website ile staff profile sioni mtu wa maana, kuanzia uvaaji muonekano. Kilichonifanya niangalie kwa makini ni kwamba kwenye tangazo walisema wanataka watu wenye CPA kwenye nafasi ya Finance Manager. Nimejaribu kucheki kwenye list ya active members NBAA majina kama 10 hivi rondomly sijaona mwenye CPA
Sina imani