bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Nini kimemkuta huyu kijana wa Kituruki pale Barcelona kakutana na mafundi zaidi au mfumo umemkataa tu?
Akiwa Atl Madrid Alikua akipiga mpira mkubwa sana tena washoka alikua hawezi kusugua benchi hata siku moja labda angekua majeruhi.
Je ni muda sahihi wa Arda Turan kuondoka Barcelona au bado ananafasi chini ya kocha mpya Ernesto Valverde?