Archaeological find in Jerusalem ‘proves Bible passage is historically true

Inawezekana hasa pale unapotangazia uma kwamba taifa Fulani ni la kiislamu.

Maana yake ni kuishi kiislamu kwa lazima wala sio ombi,na ukikaidi utapata mkosi.
Ukiona hivyo ujue hilo taifa lina waislamu wengi kuliko imani zengine,sasa mie hoja yangu kuanza kusambaza hiyo imani kwa kutumia nguvu.

Mfano leo ukatumie nguvu huko ulaya ili watu wawe waumini wa imani ya kiislamu wewe unadhani inawezekana?
 
bibilia haijawahi kukosea.
ni kitabu ambacho hata wanaokiponda wanakisoma kwa siri wakiwa na stress
 
Ukiona hivyo ujue hilo taifa lina waislamu wengi kuliko imani zengine,sasa mie hoja yangu kuanza kusambaza hiyo imani kwa kutumia nguvu.

Mfano leo ukatumie nguvu huko ulaya ili watu wawe waumini wa imani ya kiislamu wewe unadhani inawezekana?
Inawezekana kabisa,hasa pale muislam anapolazimisha imani yake kuhesabiwa mahali ambapo anajua waumini wengi ni wa dini nyingine.ilhali kwake hataki kuheshimu waamini wengine kwa kigezo yeye ana waumini asilimia kubwa kama ulivyosema.
 
Sijakuelewa mkuu.
 
Back
Top Bottom