Aptitude Test UAP Graduate Program

Aptitude Test UAP Graduate Program

Siah

Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
22
Reaction score
3
Jamani kwa aliyewahi kufanya hizo test please naomba anielekeze utaratibu wa hyo link ya kufanya aptitude coz kwenye email yao hawaja ionyesha wamenipa tu maelezo
 
reply choochote kwenye hiyo email utaletewa maelezo mengine mammie
All the best
 
Mmmh mi mwenyewe nimetumiwa hiyo email ila bado sijafanya any assignment
 
Kumbe tupo wengi ee?? Asanteni sana, mi nlikuwa nasubiri nadhani watanitumia link badae!!,,hivi wana ofisi hapa bongo maeneo gani?
 
Jamani kwa aliyewahi kufanya hizo test please naomba anielekeze utaratibu wa hyo link ya kufanya aptitude coz kwenye email yao hawaja ionyesha wamenipa tu maelezo

mkuu wewe ushafanya assessment?
 
Angalieni tena kwenye e-mails kuna maelezo mapya na wame extend muda wa kufanya hiyo online kitu mpaka tarehe 5.
 
Back
Top Bottom