Aptitude Test TPB

Aptitude Test TPB

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,944
Reaction score
1,504
Habari za mchana! Wakuu nimepata Ujumbe muda si mrefu ambao ni kama ulivyo hapo chini ko mwenye uelewa kuhusu hizi test za hawa TPB(Tanzania Post Bank) anaweza nipa mwanga fulani japo nishapita google ila naona nahitaji mawazo zaidi.Ahsanteh

Greetings, TPB BANK PLC is pleased to invite you to attend an aptitude test for the post of Sales Executives, which will be held on Saturday 17.02.2018 at THE LAW SCHOOL behind Mawasiliamo Tower Sam Nujoma Road D' Salaam. The test will start at 09:00am. Pls Come with your Identity card
Welcome
 
Hongereni wadau.

Sijui kama aptitude test zinatakiwa kufanana ila jiandaeni na maswali tofauti tofauti, mpaka hesabu unaweza kuzikuta humo.

Mimi ilinikuta kampuni fulani hivi na hata post haikuhitaji hesabu.

Wanachopima ni uwezo wa kuelewa kwa haraka, kuwa sharp, na vitu kama hivyo.
 
Ahsanteh boss kwa hiyo unaweza kutana na maths,maumbo,na ya explanation?
 
Maumbo sikukutana nayo ila hesabu za sehemu, kugawa na zile za kutafuta umri wa mtoto.
Explanation haikuwepo, ilikua ni multiple choice, kulinganisha na kuangalia sentensi ipi haifanani na zingine.
 
Habari za mchana! Wakuu nimepata Ujumbe muda si mrefu ambao ni kama ulivyo hapo chini ko mwenye uelewa kuhusu hizi test za hawa TPB(Tanzania Post Bank) anaweza nipa mwanga fulani japo nishapita google ila naona nahitaji mawazo zaidi.Ahsanteh

Greetings, TPB BANK PLC is pleased to invite you to attend an aptitude test for the post of Sales Executives, which will be held on Saturday 17.02.2018 at THE LAW SCHOOL behind Mawasiliamo Tower Sam Nujoma Road D' Salaam. The test will start at 09:00am. Pls Come with your Identity card
Welcome
Hao jamaa akili zao wanazijua wenyewe. Usishangae wakati unasubiri majibu baada ya kufanya interview ukakutana na tangazo lingine tena wanahitaji watu katika nafasi zile zile ambazo nyie mmefanyia usaili na hawajatoa majibu.
 
TPB ni wakuda sana
Aptitude zao huwa ni rahisi kwa mtu ambaye anafuatilia mambo ya duniani pia kwa mtu mwepesi wa kufikiria.
Ila tatizo lao huwa hawaeleweki kabisa. Wanaweza kufanyisha watu interview halaf wasiite tena watu kwa kuendelea na mchujo unaofuata.
Pia unaweza kufanya hizo test halaf ukitoka nje unaona tena tangazo lao wakitangaza nafasi hizo hizo
 
Jamaa si watu wazuri kumbe haha
 
Apptitude test huwa ina vitu kama reading comprehension, problem question, mathematics na English...
 
TPB ni wakuda sana
Aptitude zao huwa ni rahisi kwa mtu ambaye anafuatilia mambo ya duniani pia kwa mtu mwepesi wa kufikiria.
Ila tatizo lao huwa hawaeleweki kabisa. Wanaweza kufanyisha watu interview halaf wasiite tena watu kwa kuendelea na mchujo unaofuata.
Pia unaweza kufanya hizo test halaf ukitoka nje unaona tena tangazo lao wakitangaza nafasi hizo hizo
Ni kweli kabisa
 
Jamaa si watu wazuri kumbe haha
Ni wazinguaji, ila nenda na wewe kajaribu bahati yako
Test zao mara nyingi ni simple maths, english grammer na tenses, general knowledge, chemsha bongo, history na current issues etc
 
Nikikumbuka mwaka fulani walivyonitoa mkoani huko nikaambiwa aptitude inafanyika morogoro pale mzumbe chuo kikuu, nikafunga safari nikafanya aptitude yao kisha baada ya kupita nikatumiwa ujumbe kama wako kwamba nije dar kwajili ya interview.Nikafunga safari tena(kumbuka ni pesa hapo natumia na kipindi hicho sikua na ajira). Tukapiga interview watu kama 300 ambao tulipita kwenye aptitude ya morogoro lakini baada ya hapo wakawa kimya wiki mbili bila kutoa majibu alafu wiki ya tatu wakatoa tangazo la nafasi za kazi zilezile ambazo tulifanyia interview. Swali la msingi ni kwamba je, kati ya wale 300 hapakua na hata mtu mmoja mwenye sifa?
 
Back
Top Bottom