Ukiacha upepo wa kishabiki na ukaangalia kwa undani, mechi hii imeikuta Yanga mahali pabaya. Mbinu rahisi kwa Yanga ni kama waliyoitumia dhidi ya MamelodiTukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia goli 2+ nk. Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha. Wafungaji wa yanga kati ya
Mzize
Mudathir
Aziz.K
Jgwede......
Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
Tarehe 20 sio mbaliUkiacha upepo wa kishabiki na ukaangalia kwa undani, mechi hii imeikuta Yanga mahali pabaya. Mbinu rahisi kwa Yanga ni kama waliyoitumia dhidi ya Mamelodi
Yanga haina mchezaji tegemeo wa kusema akikosekana timu inapoteana. Yanga kuyumba labda wakosekane key player angalao watatu, so far ambae hana uwezekano wa kucheza tarehe 20 ni Yaoyao tuUkiacha upepo wa kishabiki na ukaangalia kwa undani, mechi hii imeikuta Yanga mahali pabaya. Mbinu rahisi kwa Yanga ni kama waliyoitumia dhidi ya Mamelodi
Kusanya hata milioni 3 kamuwekee yanga ana odd 2.44 upate milooni 6 ,kuandika humu haufaidiki na chochote.Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia goli 2+ nk
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha
Wafungaji wa yanga kati ya
Mzize
Mudathir
Aziz.K
Jgwede......
Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa
Naona sentensi mbili zinazojicontradict
- Yanga haina mchezaji tegemeo wa kusema akikosekana timu inapoteana.
- Yanga kuyumba labda wakosekane key player angalao watatu
Weka mzigo SportPesa upate faidaTarehe 20 sio mbali
Hakuna contradiction yoyote mkuu, sentensi ya kwanza ni umoja yaani hakuna mchezaji mmoja pekee ambae akikosekana yanga itayumba, sentensi ya pili ni uwingi yaani wakosekane kuanzia wachezaji watatu ndio timu inaweza kutikisika kidogo mfano game na mamelod walikosekana key players watatu(Yaoyao, aucho na pacome) ikamlazimu kocha ajilinde zaidi lakini bado mamelod alipewa misukomisuko bila mbeleko uenda yanga angekuwepo semi finals. Naamini aucho na pacome wangekuwepo pale kati uenda Gamondi angecheza ile ile aggressive football yake ya siku zoteNaona sentensi mbili zinazojicontradict
AZIZ K AMESHINDA???Tukielekea mechi ya watani 20 apr yanga atashinda kuanzia 2+ FT KUANZIA KOLI 3+
Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili magoli yatakuwa ya kutosha
Wafungaji wa yanga kati ya
Mzize
Mudathir
Aziz.K
Jgwede......
Mwisho nawatakia mechi njema wote mtakaoelekea taifa