Sidhani kama kila msanii huwa anaandika nyimbo zake mwenyewe ukitoa wanaofanya hip hop .Hamna kitu, anafanya tu cover za nyimbo za libianca kwa kiswahili. Beka title pia ali rise kwa ujanja ujanja huo kwenye nyimbo za adele, saivi kapotea. Atunge zake tuone kama ameiva kweli
Wewe lipia tangazo tu. Ila hamna msanii hapo.Sidhani kama kila msanii huwa anaandika nyimbo zake mwenyewe ukitoa wanaofanya hip hop . Wakina Adele, Rihanna, Beyonce hawaandiki nyimbo zao. Kama talent ya kuimba ipo lazima tukubali tu, huyu dada anajitahidi sana.
Yeah kweli kabisa huyu dada anafanya futuristic music ambayo waswahili wengi hawaielewi unless iwe viral kule tiktok labda ndiyo ataweza kuvunja baadhi ya barriers.Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..
Naomba Uzi Ufungwe... Watu wengi hawawezi kumuelewa huyu dada coz "she is from the future.."Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..
Sauti yake ni ya vocalists wa Trance. Kama umemsikia Davina Michelle, mule mule.Nilimsikia mara ya Kwanza na kumuona kwenye video yake ya "sepa" ryt there nilinotice kwamba she is very talented na mziki anaoufanya muda wake bado.. she is from the future, yaan ni kama Navykenzo way back kabla waswahili hawajawaelewa.. she is gorgeous in many ways, napenda ladha ya mziki wake, I wish ningekua Alan Walker ningetoa nae dude la kimataifa..