mbona kuna diamond, ally kiba, na wanamuziki kibao? inabidi tupitishe muswada awe mwanamuziki mmoja tu wanatumalizia hela tu.
mbona kuna nyumba za udongo matofali ya cement na kuchoma na hapa tutafute moja tu.
mbona kuna ugali wali na chips hapa pia vifutwe tuamue kama ni chips ziwe chips tu tusile vyakula vingi tutamaliza hela.
kaka
medson jonasan unatakiwa utambue kuna kitu kinaitwa preference kila mtu ana kitu chake anachopenda furaha yako wewe si ya mwenzako na unachopenda wewe na mwenzako anaweza asipende. leo hii kunaweza toka facebook ya kijani ikawa na feature kama feacebook ya kawaida ila kwa sababu tu ya ile rangi ya kijani mtu akaacha fb ya kawaida akaenda ya kijani