Apps zinazoshabikia Ushoga zifungiwe

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,813
Zipo apps zinaunganisha wapenzi wa jinsia moja katika eneo walilopo. Humo wamejaa wanachuo, bodaboda na mabazazi. Dakika 5 nyingi mtu huyu hapa anatwetwa kama Una geto ununue na bia/konyagi uweke geto ndo basi tena. Yaan daily kama wanaambiana. Ni hatari ndugu zangu vijana wamekwisha/oza.
 

Attachments

  • mary_kuyokwa_11046099.mp4
    21.9 MB
Una ghetto, muonekano wako wengine ntumie nauli wengine wale wa uswahilini hasa waliojichubua wana ingizwa night kali na kutoka

Watajiju
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…