Apps hatarishi

Apps hatarishi

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,623
Xender , shareit , Airdrop ni app hatari sana kwenye simu ?

Nazani kichwa Cha habari kinajieleza au bado [emoji3] ujanielewa kama unatumia app ya Xender ifute sasa hivi maana ni app hatarishi sana kwenye simu au kompyuta unajua kwanini ?

App ya Xender ni moja wapo ya app maarufu duniani kwani watu huweza kufanya mambo mengi kupitia iyo app

• watu huweza kutumiana picha
• kutumia video
• documents mbalimbali watu huweza kutumiana
• ma file makubwa kwa madogo watu huweza kutumiana kwenye Xender
• pia kutumiana apps mbalimbali nk
• pia unatumia offline Wala akuna gharama zozote za kulipia kutumia hii apps

Lakini apps hii ni hatari sana kuwa nayo [emoji3] kwenye simu yako ikiwq ujui jinsi ya kujilinda na virusi au hackers ? Unajua kwanini

• ukitumia app ya Xender ni rahisi mtu kuweza kupata virusi kwenye simu kwa njia ya kurushiana file , picha , documents , video nk.

Kwani sio Kila mtu anajali simu ivyo Kuna mtu inawezekana akawa Kila atakacho kiona mtandaoni anadownload , Kila link anafungua jua mtu Yuko kwenye hatari ya kukutumia virusi kupitia Xender

• pia ni rahisi mtu kupata taarifa zako kwa kuwa wifi ysko inakua on pia location ivyo ikitokea unatumia app ya Xender mtu anaweza kukutumia app kuweza kufuatilia taarifa zako bila wewe kujua.

Ukitumia Xender jua uko nafasi kubwa sana ya simu yako kuweza kuathiliwa virusi pia app ya Xender Ina tabia ya kuchukua data za mteja na kuziuza ivyo kuwa Makini ukitumia Xender.

Alafu Xender ikitokea unatumia ukiwa offline jua ni rahisi kupata virusi kwa kuwa ant virus yako inakua offline ivyo Inashindwa ku detect na kujua [emoji724]

Utajilinda vipi [emoji3] sasa sio rahisi kujilinda ila ngoja nikuambie jambo lisije kukuta kitu ukalalamika unaweza kuwa salama kwenye Xender ikiwa kabla uja rusha ma file kagua kwanza akuna file la ajabu maana usije kurusha virusi [emoji724].

Ebu tuachie maoni yako ulikua unajua Ili au ndo tunakujuza ?

Teknolojia ni Yetu sote [emoji56]
png_20220327_113703_0000.jpg
 
Teknolojia ni Yetu sote [emoji56]View attachment 2165845
Asante kwa muongozo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Anayehangaika kuhack wabongo,kaishiwa kazi.
Unakutana na calls za bodaboda,fundi wa gari au fundi site goba.
Video za pilau,sms za michepuko na sms za kuomba boss udhuru wa kuchelewa kazini.

Likiingia virus likawa zito linaflashiwa au kufungiwa kabatini.
 
Wenyewe Google wameipitisha kwenye Store, so tunaishi nayo tuu
Chukua simu ambayo aina Xender alafu install izi ambazo ni latest utaona ujumbe watakakuletea pia google play sio Kila apps nj salama kwako kunw baadh zinaiba data za mteja kama kawaida
 
Kama issue ni kurushiwa file lenye virus vipi kuhusu
Whatsap
Telegram
Email nk?
 
Anayehangaika kuhack wabongo,kaishiwa kazi.
Unakutana na calls za bodaboda,fundi wa gari au fundi site goba.
Video za pilau,sms za michepuko na sms za kuomba boss udhuru wa kuchelewa kazini.

Likiingia virus likawa zito linaflashiwa au kufungiwa kabatini.
😁😁
 
Labda upande ww masoko, watajua waongeze kondomu zenye ladha na vinundu maana watu hawafikishwi vileleni, au labda walete bodo boda zinazoweza kupakiza mshikaki maana wengi wanauliza toyo wao kupakia mshikaki bei gani.

Nimewaza tu.
 
Anayehangaika kuhack wabongo,kaishiwa kazi.
Unakutana na calls za bodaboda,fundi wa gari au fundi site goba.
Video za pilau,sms za michepuko na sms za kuomba boss udhuru wa kuchelewa kazini.

Likiingia virus likawa zito linaflashiwa au kufungiwa kabatini.
hahahaha Nakazia
 
sijui umeandika utopolo gani.
Hii dunia inakoelekea utakua kuambiwa hata ugali ina madhara kiafya wakati kuacha haiwezekani kwaio tukianza kurekebisha kila kitu huyu mtoa post ni sawa na mtu anaeongea gia angani...
 
Back
Top Bottom