Appreciating Women Beauty! Figure 8!

ama kweli nyumbani ni nyumbani, manzi namba nane wakali,,, in fact hata watoto wao huwa wana afya sasa ukitaka wa kuoa si umpate huyu wa namba nane maana ata watoto wangu watakua na afya wengine wanajali afya zao wako obsesed na wembamba au unene ulozidi wana matatizo mengingi, yaani body mass index haiendani nao ikiwa juu matatizo mingi kwanza watoto hawana afya, sio woote matatizo ya pressure kisukari, physical problems ata mambo flani kwe 6/6 ukiwa mwembamba saana nayo shida unapata shida hata wakati wa kujifungua mh kitoto chaweza athirika na kujinyima kwako ila kama wewe ni mwembamba naturala angalau ila mambo ya sita kwa sita pia dah raha ya penzi nipate joto lako sasa wewe unapwaya kama nguo ya kuazima
 
mimi hapa nimefika ,, nikimpata kama huyu tiketi ya kuanza safari kumchunguza kama atanifaa, akinipendezesha tabia akinikubalia mashallah kwenu nitafika kama upo hebu jitoteze fasta naahidi tutafika mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…