Appreciating Women Beauty! Figure 8!

kumbe figure namba nane ndio hizi mi nilikuwa nyuma sana hata sikujua kama ndio hawa
anyway ahsante kunielewesha
 
Wanapendeza sana zaidi ya wale wembamba wanaoitwa mamisi...mwanamke wa kiafrika lazima awe na swaga za kibantu bhanah
 
na sisi tusio na ziwa wala ****?????? ila ni makabati???? hahhahaahhhaha
 
Jamani wadada wetu walio wengi wamejaaliwa kusema ukweli daaaahh!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…