mundu mkongw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 203
- 87
Tangu nimeanza kuomba kazi zoom tanzania sijawahi kuitwa kwenye usaili kupitia APPLY NOW hivi kuna ukweli wowote kuomba kazi kupitia utaratibu huu?
Thanks mkuuMe Kila nikiomba Naitwa till now nipo job,
Mkuu we komaa tuh ipo siku
nimekusoma mkuuKomaaa wanaitaga japo saiz tumeongezek matepeli tumekuwa wengi sana
Kazi niliyonayo sasa hivi niliipata kupitia zoomtanzania.
Pale mtu yoyote anaweza kuweka Tangazo la kazi . Kwa hio ukitapeliwa sio kosa la zoom ni kosa lako mwenyewe
mkuu kinachonipa utata unakuta kazi imetangazwa ila hakuna email au sanduku la posta la kutuma maombi ila unakuta APPLY NOW ambayo ni ya zoom?Me Kila nikiomba Naitwa till now nipo job,
Mkuu we komaa tuh ipo siku
huwa unaomba kupitia APPLY NOW ya zoom au tunatuma kwenye sanduku la posta la kampuni husika?Me Kila nikiomba Naitwa till now nipo job,
Mkuu we komaa tuh ipo siku
Hio hio apply now inawafikia walengwa. Cha msingi usikate tamaa na andaa CV nzurihuwa unaomba kupitia APPLY NOW ya zoom au tunatuma kwenye sanduku la posta la kampuni husika?
Acheni hayo mambo ya kurahisisha vitu, "APPLY NOW" ya zoom imejaa matapeli na hii mada ishajadiliwa sana mpaka namba za simu za hao matapeli zikawekwa humu.Me Kila nikiomba Naitwa till now nipo job,
Mkuu we komaa tuh ipo siku
exactly!! mpaka najiuliza iv lengo la apply now button ni kujipatia taarifa za watu ili wazitumie kwenye utapeli?. cpati jibu ila ni ukweli zoom utapeli mwanzo mwisho na tulisha wapatia hadi contacts za wahusika wanaocheza na huu mtandaoAcheni hayo mambo ya kurahisisha vitu, "APPLY NOW" ya zoom imejaa matapeli na hii mada ishajadiliwa sana mpaka namba za simu za hao matapeli zikawekwa humu.
Thanx! mkuuNimewahi kuinterview watu kadhaa ambao walisema waliona tangazo kupitia Zoom. Komaa mkuu.
Asante kamandaDon't worry Mkuu me kazi nimeipata kupitia APPLY NOW tehna Nimeitwa interview nyengine 3 za tareh moja February, ww endelea nao ivo ivo Ila Kuwa na email hata mbili uweze ku-apply Mara 6 per day
baadhi ya matangazo hayana email wala postal address ya kutuma maombi? ipo "APPLY NOW" sasahapa tunafanyaje mkuuexactly!! mpaka najiuliza iv lengo la apply now button ni kujipatia taarifa za watu ili wazitumie kwenye utapeli?. cpati jibu ila ni ukweli zoom utapeli mwanzo mwisho na tulisha wapatia hadi contacts za wahusika wanaocheza na huu mtandao