Applications nzuri zaidi kwa android na iPhone

Applications nzuri zaidi kwa android na iPhone

Videoder kwangu inagoma kudownload siku hizi sijui imepatwa na nini... Vp wewe inafanya kazi vizuri tu?

Videoder ipo kama kawaida lakini o search kwa Internet ya kawaida kama ni chrome, mozila au browser yeyote lakn s play store. Ukisha idownload then install, halafu itakuambia uweke setting yako ikubali ku install from unknown source. Then utamalzia kuistall basi kila kitu kiko poa.

Nb: download vision 8 au 7..
 
iPhone: Music Center
Inakuruhusu ku-play miziki kutoka kwenye notification center hata kama simu ipo locked una slide kushuka chini na kucheza miziki.
image.jpg
 
ANDROID;

shazam-ku search music
reflection-hii itawasaidia wenye michepuko yenu,inaficha call logg na SMS za no flani utakazokua umechagua wewe,
lux dash-hii inapunguza mwanga wa screen yako ya simu to the minimum,ktk level ambayo hata settings ya simu yako haiwezi kufikia,ni nzuri kama kuna muda upo sehemu yenye giza na hutaki simu yako itoe mwanga sana unapotumia.
 
Kwa iphone

1. Vert
2. 1password
3. Scannable
4. Deeday
 
Back
Top Bottom