bloototh hark unatumia vocha za mtu yoyote
bloototh hark unatumia vocha za mtu yoyote
Play max huweki vocha unapiga mitandao yote
is it real au unazingua mkuu
Wapenda mademu Tinder itawafaa
Instameter hii ina uwezo wa kukuonyesha alie ku follow na kuku unfollow na mengne yanayohusu instagram. Kuna videoder hii ipo faster sio tu ktk ku download video song but hata movie
(kama ipo mtandaoni yaani free download) kuna video show, iko kama flipagram lakn hii ina vkorombwezo vng zaidi. Kama photo video, ku convert video to audio, ku cut video yaani kama sehemu unayoitaka etc.
jaribu vidmate nayo iko poa kimtindo..Videoder kwangu inagoma kudownload siku hizi sijui imepatwa na nini... Vp wewe inafanya kazi vizuri tu?