Pole sana lakini usikate tamaa,jitahidi kuomba kazi kila zinapojitokeza na uzidi kumuomba Mungu. Kuna ndugu yangu tulimaliza nae mwaka huo huo,alikuwa akiomba kazi hata kuitwa interview haitwi hadi akakata tamaa,mwaka jana zikatoka nafasi akajitahidi kuomba nyingi kweli na kila moja aliitwa interview akafanya na mwaka 2014 ukaisha bila bila lakini wiki iliyopita utumishi wamempigia simu amepata nafasi ya HR.