sorry....utumishi wao hupendelea barua ziandikwe kwa mkono ama zilizochapwa....mwenye uzoefu tafadhali!
korino hivi hujapataga tu kazi my dear...
Cjapata ndugu yangu! Tangia 2011 yaan ila Mungu atasaidia tuu
Ulisomaga nini vile??
andika kwa mkono au kuchapa vyote vinakubalika ila inapendeza zaidi ukiandika kwa mkono lakin km unaona mwandiko wako uko km wa PROPESA mwongo bora ukachape