Penologist
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 793
- 1,932
Wafanye hivyo maana muda unakwendaNadhan bado wanauweka sawa maana nimeona wameingeza kipengele cha reverse aplication
Hicho kipengele pia hakifanyi kazi.Nadhan bado wanauweka sawa maana nimeona wameingeza kipengele cha reverse aplication
DuhhhhMim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsa
Nimepiga simu hta kupokea hawapokeiSystem imekaa vibaya mwaka huu, nimekuwa nikiwaombea wanafunzi mikopo kwa miaka nane sasa ila mwaka huu system inasumbua vibaya sijawai kuona.
Yaani ukipata control number ukalipia ita chelewa sana kureload tena mwaka huu hakuna button ya kureload manual. Baada ya muda mrefu iki reload, ukinza kuingiza taarifa za nwanafunzi ili u create account system inaruka inakuambia tayari unayo account. Yaani ni vurugu tupu. Alaf mwaka huu hakuna online customer care.
Inaonyesha ni namna gani wamekurupuka bila maandalizi na ndiyo maana walisogeza muda wa kufungua dirisha la maombi.
Wanatuchosha jamaniNadhan bado wanauweka sawa maana nimeona wameingeza kipengele cha reverse aplication
😂😂😂 bosi watu wanakuchosha na hela ni yao na. Ukiniuliza mimi bado wanarekebisha page yao so ili kuepuka usumbufu usiombe sasa hivi subiri muda kiasi, lakini kwa kua hujaniuliza,nikutakie kila lililo jema mkuu.Wanatuchosha jamani
Hta sijapply nmeshindwa.bosi watu wanakuchosha na hela ni yao na. Ukiniuliza mimi bado wanarekebisha page yao so ili kuepuka usumbufu usiombe sasa hivi subiri muda kiasi, lakini kwa kua hujaniuliza,nikutakie kila lililo jema mkuu.
Hivi ni shilling ngapi unalipia kwa control namba mwaka huu niandae pay mkuu?Hta sijapply nmeshindwa.
Nasubiri tu hpa
30000Hivi ni shilling ngapi unalipia kwa control namba mwaka huu niandae pay mkuu?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hata mm imenigomea an nmeweka namba ya form 4 nikaletewa sehem ya kujaza email na namba ya simu halafu nikaletewa control number nilivolipia tu nataka kuendelea nikiingia naambiwa no active account found siwez kuendelea na step nyingne yoyote nimepiga lakn hawapokei😥😥Mim NIKIWEKA namba angu ya kidato Cha nne inagoma kabisa ila NIKIWEKA za watu wengine inakubali katika ufunguaji wa account hatua ya mwanzo kbsa
Umefanyaje kucreate account maana mm nimeletewa control number nikalipa kumbe sjatengeneza account Sasa nikitaka kuingia inagoma an maana hata sehem ya kuletewa password sikuletewa nijazeYaani tz kila kitu kibovu. Hawa HESLB mizinguo kweli ninaweka password naconfrim kila niki-submit inazunguka tu. Nimebadili browser lakini wapi. Kwa ambao mmevuka hichi kipengele hamkusumbuka?
Ulipokwama ndio na mimi nimekwama hapo hapoUmefanyaje kucreate account maana mm nimeletewa control number nikalipa kumbe sjatengeneza account Sasa nikitaka kuingia inagoma an maana hata sehem ya kuletewa password sikuletewa nijaze
Hii shida imeanza lini kukutokea mimi ni leo mchana ninelipia ila nikitaka kutengeneza account inaload tuHata mm imenigomea an nmeweka namba ya form 4 nikaletewa sehem ya kujaza email na namba ya simu halafu nikaletewa control number nilivolipia tu nataka kuendelea nikiingia naambiwa no active account found siwez kuendelea na step nyingne yoyote nimepiga lakn hawapokei😥😥
Tangu jtano ya wiki ulopita Yan siwez tengeneza account Mara naambiwa nisha register wakat mm sikutengeneza account na Wala password sikujaza na sikuletewa password ya kuweka sielew nafanyaje kutengeneza accountHii shida imeanza lini kukutokea mimi ni leo mchana ninelipia ila nikitaka kutengeneza account inaload tu
Nijulishe chief ikikubaliGuarantor page na Demographic page zinaload bila kusubmit... Msaada