Application ya simu inayowezesha kupakua nyimbo YouTube

Desi P

Senior Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
152
Reaction score
83
Habari wakuu, bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja. Mm natumia simu hizi za Android sasa ni application ipi itaniwezesha kupakua nyimbo YouTube. Mwenye kufahamu naomba anijuze wakuu.
 
videoder...nzur sana ila haipo playstore
 
Fungua browser andika videoder apk.. fungua link downoad apk file ..then install manually..
 
Habari wakuu, bila kupoteza Muda Naomba niende moja kwa moja Kwenye hoja. Mm natumia simu hizi za Android sasa ni application ipi itaniwezesha kupakua nyimbo YouTube. Mwenye kufahamu naomba anijuze wakuu.
Tubemate
 
Njia rahisi isiyohitaji application yoyote zaidi ya web browser tu.

Ingia kwenye hii website

www.savefromit.net
Kutokea hapo ni kiasi cha kucopy URL kutoka YouTube na unapaste kwisha kazi.
 
Back
Top Bottom