nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Kama huna kifua cha kuyabeba na kuyavumilia utakayokutana nayo bora usichunguze
Tupe kwanza hako ka mwanzo kanaitwaje na sisi tuka install mkuu?
....utahimili mkuu?
hayo asemayo kama kweli aanzishe darasasa humu , wachunguzaji tupoooooooooooo
Sasa hiyo ili seaze sababu iliweka icon kwenye screen inawezekana alika un-install sasa wewe cha kufanya tafuta program nyingine inayoweza kufanya hivyo lakini pia iwe inaweza kuji hide nakuhakikishia zipo na ukisha weka ukafa na bp uje utoe feedback
nimekafuta wakuu nilikuwa nimekatolea maelezo hapo juuu hope wachache wamekaona.....mm naleta thread nipo crius watu wanaleta mkwara ilihal na wao wanakataman...
mkuu mchepuko nitakupa kwenye pm ila usiwape hawa jamaa....na pia mwingne ukitaka nitakupa pm ili hawa wanaoponda ilihali wanakata kumbe waendelee kuponda.
Ina maana unataka Program itakayokupa taarifa siku akimpa Jirani Dudu?