Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 179
Ijaribu Vblocker iko powaa iko play store,, sema haiselect sim card, especially for dual sim cardNataka ya kublock SMS yani akinitumia SMS nisipate kabisaaa
OK mkuu ngoja nijaribuIjaribu Vblocker iko powaa iko play store,, sema haiselect sim card, especially for dual sim card
Poa mkuuOK mkuu ngoja nijaribu
Hahahaaa sidaiwi mkuuMkuu Dawa ya Deni ni kulipa tu.
Hii nishawahi kutumia inaacha missed callTrue caller
Wakuu habari,
Straight to the point hivi ni app gani nzuri katika simu ambayo inaweza kuzuia simu nnazopigiwa zisiingie kabisa kwenye simu yangu? Apps nyingi za kublock calls zinablock baada ya simu kuita na ukiangalia unakuta missed call sasa nauliza kama ipo ambayo ni bora kuliko hizo. Yan hata mpigaji asijue kama kablockiwa.
Nawasilisha.