Application ya diploma UDOM

Application ya diploma UDOM

keshmoney

Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
14
Reaction score
1
Habari za asubuh wana jf nauliza jaman HV his application za udom za diploma mbona system ya app haijaainisha koz za kujaza
 
nipe account namba ya kulipia na account name
 
Aaaa nieleweshen vizur jaman nilipie tu haya acc no hamna mwongozo haupo duuuu
 
image.jpg
image.jpg
Aaaa nieleweshen vizur jaman nilipie tu haya acc no hamna mwongozo haupo duuuu
Fuata maelekezo kisha hapo kwenye application click hapo juu apply program then chini utaona maandishi ya blu click utaona namba za bank na namba yako ambayo ujaandika katika bank slip
 
Fuata maelekezo utaona bank details na pia application number ambayo tuwaandikie katika bank slip ukienda Benk kisha baada ya kulipa attach bank slip na baadae utapata kozi unapotaka kuchagua
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    25.5 KB · Views: 39
Back
Top Bottom