Application ya bachelor degree kwa sifa ya diploma

Application ya bachelor degree kwa sifa ya diploma

KIMBWANGAI

Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
75
Reaction score
22
Wakuu naomba msaada wa procedures na vitu muhimu vya kuwa navyo ili kufanya application ya bachelor degree kwa kutumia diploma certificates.
 
unadiploma ya aina gani na unataka kusoma degree ya aina gani na una gpa ya ngapi
 
Dar es salaam police collage (NTA level 6)
Zanzibar police collage (NTA level 5)
Tanzania police school (NTA level 4)
Nimezi-search mtandaoni nimezikuta kama hivyo ila sijapata maelezo zaidi kuhusu vigezo na masharti ya kujiunga.
Sawa shukrani
 
Procedure utazikuta kwenye guideline ya TCU wakifungua dirisha la maombi
 
Back
Top Bottom