ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Ndio unaweza kushare Link baada ya searching result kupatikana! Sasa mimi nina Snaptube nikishare huwa inakuja option ya download with snaptube lakini huwa ina load mwisho inaniambia FAILED ila unaweza share linkhakuna app kama idm kwenye simu,
shazam inaruhusu kushare link? pale inapoleta majibu unaangalia pale pale au unaweza kushare?
Inapatika playstore?Jaribu Advanced downloader manager pro
link inayoshare ni ya youtube? hebu jaribu kushare hio link na sms au whatsapp ili ujue ni aina gani ya link wanayotoaNdio unaweza kushare Link baada ya searching result kupatikana! Sasa mimi nina Snaptube nikishare huwa inakuja option ya download with snaptube lakini huwa ina load mwisho inaniambia FAILED ila unaweza share link
Yaah ipoInapatika playstore?
Nice link. Very helpful
Hellow.......Nilikuwa natafuta application kwenye simu yangu ya android ambayo kazi zake zinafanana na IDM katika computer kwamba nikipata Wimbo kupitia SHAZAM (application inayo nisaidia kupata wimbo wowote unachezwa ambao siujui) niwe naweza kuudownloaqd moja kwa moja katika simu yangu
Msaad Tafadhari