Application halisi ya Truecaller.

Raphael focus

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2018
Posts
789
Reaction score
4,640
Habari ya muda huu wanajanvi?
Naitaji mwenye kufahamu application halisi ya truecaller inayo sifika kuwa na uwezo wa kutambua jina la mpigaji ambae huna namba zake. Kwa maana application hii nayotumia haina sifa hizo.

 
True caller itamtambua unayempigia kama na yeye amejiunga
 
Sometimes hata kama hajajiunga inaweza kumtambua kupitia WhatsApp yke endapo kweny setting uliiset kutambua hata huko
Mkuu, sasa mimi situmii WhatsApp, labda ndo maana haiwezi kutambua jina la mpigaji.
 
True Caller inatambua namba yoyote ambayo kuna mtu kaisave kwenye Gmail.
 
Hiyo screenshot yako ndio true caller yenyewe, ila nadhani hujafahamu tu inafanyaje kazi mkuu.
 
pia inachukua data kwenye vyanzo mbalimbali lakini kubwa zaidi ni unapoidownload inaomba access ya phonebook yako ambapo itanyonya majina yote na kuyaweka kwenye server zao,haijalishi hata kama mtu hana Trukola kama ulimsave na ukaruhusu access ya phonebook yeyote mwenye trukola ataipata kwa jinsi ulivyoisave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…