B Bokohalamu Member Joined Mar 13, 2012 Posts 94 Reaction score 8 Sep 16, 2014 #1 Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu application inayoweza kudownload video kutoka facebook na youtube kwenye simu za android, Please!
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu application inayoweza kudownload video kutoka facebook na youtube kwenye simu za android, Please!
Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 Sep 16, 2014 #2 WhatsApp si una download automatic !!!
B Bokohalamu Member Joined Mar 13, 2012 Posts 94 Reaction score 8 Sep 16, 2014 Thread starter #3 Samahani nilimaanisha,instagram sorry!!
Jonatus JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,403 Reaction score 379 Sep 16, 2014 #4 Ngoja wataalamu waje huko sina ujuzi nako
B Bokohalamu Member Joined Mar 13, 2012 Posts 94 Reaction score 8 Sep 16, 2014 Thread starter #5 Ok wacha tuwasubir wadau
Kisali.TechnitianJr. JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 592 Reaction score 183 Sep 16, 2014 #6 Tumia fb katika firefox for android..... Utakapojaribu kuplay video basi yenyewe ita-download automatically
Tumia fb katika firefox for android..... Utakapojaribu kuplay video basi yenyewe ita-download automatically
B Bokohalamu Member Joined Mar 13, 2012 Posts 94 Reaction score 8 Sep 16, 2014 Thread starter #8 Thanks mazee wacha nijaribu
ney kush JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 1,416 Reaction score 951 Sep 16, 2014 #9 Bokohalamu said: Thanks mazee wacha nijaribu Click to expand... Kiongozi whatsapp haiitaji kitu cha kudownload
Bokohalamu said: Thanks mazee wacha nijaribu Click to expand... Kiongozi whatsapp haiitaji kitu cha kudownload
B Bokohalamu Member Joined Mar 13, 2012 Posts 94 Reaction score 8 Sep 16, 2014 Thread starter #10 Nilikosea hapo mkuu, nilimaanisha instagr
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Sep 17, 2014 #11 Bokohalamu said: Nilikosea hapo mkuu, nilimaanisha instagr Click to expand... insterdownloder app ukienda play store utaikuta
Bokohalamu said: Nilikosea hapo mkuu, nilimaanisha instagr Click to expand... insterdownloder app ukienda play store utaikuta
M mashoba Senior Member Joined May 8, 2014 Posts 145 Reaction score 42 Sep 17, 2014 #12 Instadownloder iko google play store