SI KWELIMkuu hichi ni chanzo cha mapato kama vilivyo vyanzo vingine
HIYO NI MWAKA JANA. NDIO MAANA HATA HESLB YA MWAKA JANA NI TOFAUTI NA HUUiv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS application fee Tsh 10000,UDSM Tsh 10000,mwaka jana kiongozi mkubwa wa serikali atoa maagizo appliction fee isizidi Tsh 10000,cha ajabu zaidi naona mwaka huu kila mmoja anakuja na style yake,IV HAWA TCU WAKO WAPI?KWA HIYO AWAYAONI HAYA?iv inawezekanaje ulipie sh 50000 kwa ajili ya chuo kimoja tu na kutokana na competition lazima wanafunzi wataomba zaidi ya chuo kimoja,kama kunawahusika humu ebu liangalieni hili,kuna miaka fulani mtu akilipia Tsh 50000 anauwezo wakuomba vyuo vitano sa hii leo kila chuo kinakuja kitakavyo,
tofauti ya mwaka sio hoja,ok fine basi nambie ni kwann imekua ivyo sababu ya msingi ni ipi?application fees ya mwaka jana na mwaka huu zitofautiane??HIYO NI MWAKA JANA. NDIO MAANA HATA HESLB YA MWAKA JANA NI TOFAUTI NA HUU
We unafikiliaje kwani?tofauti ya mwaka sio hoja,ok fine basi nambie ni kwann imekua ivyo sababu ya msingi ni ipi?application fees ya mwaka jana na mwaka huu zitofautiane??
Limit iliwekwa kwa vyuo vya serikal tu na sio private.iv huu ndo utaratibu gani kila chuo mwaka huu kina application fee yake kwa wale wanaoomba bachelor degree,CUHAS[bugando] application fee Tsh 30000,kcmuco[kcmc] application fee Tsh 50000,MUHAS application fee Tsh 10000,UDSM Tsh 10000,mwaka jana kiongozi mkubwa wa serikali atoa maagizo appliction fee isizidi Tsh 10000,cha ajabu zaidi naona mwaka huu kila mmoja anakuja na style yake,IV HAWA TCU WAKO WAPI?KWA HIYO AWAYAONI HAYA?iv inawezekanaje ulipie sh 50000 kwa ajili ya chuo kimoja tu na kutokana na competition lazima wanafunzi wataomba zaidi ya chuo kimoja,kama kunawahusika humu ebu liangalieni hili,kuna miaka fulani mtu akilipia Tsh 50000 anauwezo wakuomba vyuo vitano sa hii leo kila chuo kinakuja kitakavyo,
logicPrivate wanaongeza application fee kiasi hicho ili kupungiza pia wale ambao huapply tuu...na atawakipata wanaweza wasiende,
Hapo walioserious tuu ndio wanaweza wakaapply hivyo vyuo
Mwakajana kcmc ilikua bure,afu baadae awam ya pili na tatu wakaweka 10000 uliza kilichowakuta
Waliopata nafasi walikua weeengi weengi,ila waliofika chuo walikua ni wachache
jibu swaliWe unafikiliaje kwani?
soma post no #10jibu swali