Wakuu shikamooni kwa ujumla wenu mdogo na mkubwa!
Tupo mtu kama 12 hv hapa cafe tunafanya application ya vyuo kupitia TCU.
Tumelipia kila kitu kiroho safi kabisa. Lakini kuna shida sehemu. SYSTEM HAIKUBALI ILE OPTION YA KU ADD VYETI VYA O NA A LEVEL KWA WALE WALIOWAHI KURISITI MITIHANI. INASEMA ERROR 404.
Deadline kesho kutwa tarehe 26. TUMEWAPIGA SIMU WEEEEEEEEEE LAKINI SIMU HAIPOKELEWI AMA UNAKUTA IPO BUSY.
Kwa yeyote mwenye jamaa yake pale tcu tunaomba atusaidie atuwasilishie hili tatizo mezani kwao.
Tunatanguliza shukrani zetu kwenu.
Lakini 4th round ni kwa applicant wanaopitia TCU tu cyo NACTE au mm ndyo cjaelewa hiyo scrnsht yakoNimekuwa nikifanya application awamu ya pili na ya tatu. Awamu hizo zote nilikosa kupata chuo. Leo tar 24 limefunguliwa dirisha kwa awamu mpya ya nne ya kuchagua tena vyuo .
Ila cha kushangaza hakuna option inayoniwezesha kudelete machagua ya vyuo vya awamu ya 3 ambayo nilikosa, ili niweze kufanya machaguo mapya ya vyuo awamu ya 4.
Kwa wale vijana wenye kuwa na la kunishauri naombeni msaada hapo.
Hii ni screenshot ambayo ilitokana baada ya kukamilisha application ya awamu ya 3.
Ndiondo mara yako ya kwanz kufany applictn..
Hivi hii round inawahusu applicants wapya au ni wale wa zamani?Ndio
Ukiwapigia wakat kama huu huwa hawapokei, labda uende direct TCU watakusaidiaMi nataka nimpigie Katibu Mkuu wa Wizara
Mhmh.... Mi nadhan chuo chenu ndo wamezingua coz kwa jinsi nnavyofaham matokeo yakishatoka chuo hupeleka matokeo nacte na pia chuo hutengeneza transcript na huwa hazipelekwi nacte ndio maana huwa hazina muhuru wa nacte au sahihi ya mtu kutoka nacte. Wanaohusika kuzkishapitisha na kudhibitisha ni sanate ya chuo na husainiwa na director after there wanafuzi hupewa ...so fuatilieni chuo mpate transcriptMi nilisoma Open na hatujapata result transcript je naweza kuapply hapo hapo open? Nataka nisome Open lakini wanasema transcript zipo NACTE, mwenye ulewa naomba jamani.