Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,221
- 2,425
Apple inatarajiwa kutambulisha emoji mpya 8 kutoka kwenye Unicode 17.0 kupitia iOS 26 mapema kabisa mwanzo mwa mwaka 2026.
Emoji hizo mpya 8 zitakuja zikiwa na muonekano wa kipekee kama ifuatavyo ๐
โก Face distorted
โก Clouds fight
โก Ballet dancers
๐ Apple core
๐ Trombone
๐ Orca
๐ Hairy creatures pamoja na
Treasure Chest
Ebu tuambie nj emoji gani umeipenda zaidi ๐.