Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?
Huyu ni Authorised dealer wa Tz, ukiwa na swali karibu inbox.
Nakusaidia kukupata details, hapo ni quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
View attachment 2407603
Of course Elite computers hawa wahindi toka kitambo ni authorized dealers wa apple
Premium authorised resellers bongo wapo kama watano ivi
Apple store tanzania mlimani citty
Ukisearch dealers wa Apple hapa Tanzania hayupo , hao wote ni walanguzi tuu, nenda website ya Apple kwenye kusearch dealers , ukiandika Tanzania , hamna results yyte.. nearest Dubai ndo wapo wengi
Huku tunauziwa malonya ya IphoneiPhone mpya Africa daah ni za kuhesabu Sana , nyingi refurbished au totally used , Ila unauziwa bei ya mpya .....
Bongo matapeli tuUkisearch dealers wa Apple hapa Tanzania hayupo , hao wote ni walanguzi tuu, nenda website ya Apple kwenye kusearch dealers , ukiandika Tanzania , hamna results yyte.. nearest Dubai ndo wapo wengi
Ukisearch Dar es salaam wanaonesha Istore Mlimani City ndo dealers sasa ww unazungumzia Tanzania ipi??Ukisearch dealers wa Apple hapa Tanzania hayupo , hao wote ni walanguzi tuu, nenda website ya Apple kwenye kusearch dealers , ukiandika Tanzania , hamna results yyte.. nearest Dubai ndo wapo wengi
Acha ujanja ujanja wa kuunganisha mavitu , Authorized Apple store Dar es salaam hakuna ,nearest zipo Dubai, hata ukienda kwenye other retailers na penyewe hakunaUkisearch Dar es salaam wanaonesha Istore Mlimani City ndo dealers sasa ww unazungumzia Tanzania ipi??View attachment 2521030
Tapeli kongweUkisearch Dar es salaam wanaonesha Istore Mlimani City ndo dealers sasa ww unazungumzia Tanzania ipi??View attachment 2521030
Ha ha haMalonya ya China na Dubai
Yah reseller means wanauza vifaa feki vya apple au original?Slowly na online24 nadhani mna search vitu tofauti. Mmoja anatafuta Apple Store na mwingine anatafuta Apple Reseller.
Hadi karibuni, Apple walikuwa na Apple Store 518 kwa nchi 25 tu duniani. Hebu fikiria ikiwa Mumbai India, Apple Store wamefungua juzi tu, ndio iwe Tanzania?
Sisi tuna resellers, hatuna Apple Store. Nadhani Africa nzima hawana Apple Store.
Ha ha haApple I store Makumbusho
PointSlowly na online24 nadhani mna search vitu tofauti. Mmoja anatafuta Apple Store na mwingine anatafuta Apple Reseller.
Hadi karibuni, Apple walikuwa na Apple Store 518 kwa nchi 25 tu duniani. Hebu fikiria ikiwa Mumbai India, Apple Store wamefungua juzi tu, ndio iwe Tanzania?
Sisi tuna resellers, hatuna Apple Store. Nadhani Africa nzima hawana Apple Store.