Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,682
- 9,560
Wapenda Iphone na bidhaa nyingine za Apple tujikumbushe tu kuwa Apple hawajawahi kuwa na wakala wala Store Tanzania toka kuumbwa kwa ulimwengu huu hivyo ukiona duka lolote Nchini wewe nunua at your own risk.
Pale Mlimani City na Makumbusho mnaibiwa mchana peupe kwa bei za kubumba.
Apple Store - Find a Store - Apple
Find an Apple Store and shop for Mac, iPhone, iPad, Apple Watch, and more. Sign up for Today at Apple programs. Or get support at the Genius Bar.www.apple.com
Of course Elite computers hawa wahindi toka kitambo ni authorized dealers wa appleMkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?
Nakusaidia kukupata details, hapo no quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
Uyo nae ananua kama wengine na kuja kuuza ni vile zilikuwa haziendi akampa deal la kutangaza millardayo#istore
Uyo nae ananua kama wengine na kuja kuuza ni vile zilikuwa haziendi akampa deal la kutangaza millardayo
Jibu unalo. umewekewa mpaka website ya Apple ila ulivyo wa ajabu bado unauliza maswaliKuna Elite wapo Upanga, unataka kusema nao ni famba?.
Mkuu nakushauri usifanye generalization ya vitu kiwepesi, kabla ya mlimani, sijui makumbusho unajua nani alikua anauza hizi bidhaaa za apple Tanzania? Simu computers etc?
Huyu ni Authorised dealer wa Tz, ukiwa na swali karibu inbox.
Nakusaidia kukupata details, hapo ni quotation na unapewa invoice ukalipie na wala hakuna kaduka ka simu zinazunguka ni office! Elite computers upangaView attachment 2407600
View attachment 2407603
Tatizo bei za hawa Elite Computers na Apple Store ya Mlimani City zinakuwa kubwa sana na unrealistic. Hiyo ndiyo hoja ya mleta mada. Bora kuagiza kupitia eBay.
Hao Elite Computers na Apple Store ni authorized resellers. Tatizo bei. Wahindi ndivyo wanakuwa na us.enge huu wa bei za ajabu.Hapana
Soma alichoandika amesema apple hawana dealer tz, issue ya bei ni kweli bei zao sio za makumbusho! Ni sawa na ukanunue nissan yard kinondoni vs DT Dobie.
Halisi ni gharama, simply cheap is expensive! Unajua iphone 7 plus 128Gb ilikua inauzwa 2.5m ilipoingia[emoji3] issue ni wapi na how Genuine ipo.
Abdalla Steve JobsWewe ni nan?