Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,096
Vice president wa industrial designs wa Apple ameondoka Apple.
Evans Hankey ambaye alirithi mikoba ya Jony Ive kwa miaka 3 imefikia muda nae pia anaona ni wakati sahihi wa yeye kuachana na Apple.
Kwa miaka 3 amekuwa mstari wa mbele katika designs za hardware na software.
Hankey hajawahi kuwa maarufu sana kama alivyokuwa Ive.
Ive alikuwa karibu sana na Steve Jobs kipindi cha uhai wake na alikuwa akiripoti moja kwa moja kwa CEO wa kampuni (Tim Cook)
Hankey alikuwa akiripoti kwa Jeff Williams ambaye ni COO wa Apple.
Mtu aliyekuwa akifanya kazi kwa ukaribu na Evans Hankey ni Alan Dye.
Alan Dye ndiye alishikilia designs za muonekano na namna software za Apple zinafanya kazi.
Yeye anaendelea kubaki ndani ya kampuni.
Mpaka sasa Apple hawajatoa tamko juu ya nani atarithi nafasi ya Evans Hankey.