- Thread starter
- #21
Hahaha mpaka vibali vya kata/mtendaji vipo. Waite waje tu.Mwigulu Nchemba hebu fuatilia hawa watu tujue kama ni watanzania na kama wanalipa kodi.
FREE PUBLICITY
Ndio watu ka sisi tunaochangia kwenye uchumi wa viwanda. Karibu Sanaa tena Sanaa.