Nimeendelea kumchimba jamaa anayenipa taarifa za App yao ambayo inafanya kazi kama Uber ameniambia Madereva tutaweza kufanya biashara hata kama hatuna Smartphone. Ila Abiria watalazimika kuwa na Smartphone.
Hii inawezekana Lakini kwenye Maps & Navigation?